Search this site or the web

Site search Web search
 

KIDATO  IKIDATO IIKIDATO IIIKIDATO IVQUIZ

TZ FlagTANZANIA CERTIFICATE OF EDUCATION (O-LEVEL)

KISWAHILI SYLLABUS

KIDATO CHA PILI

Malengo ya Kidato cha Pili

Mwanafunzi aweze:

1.    Kueleza vipera vya tanzu za fasihi

2.    Kufahamu mbinu za kifani za kila kipera

3.    Kufafanua dhima za vipera vya fasihi simulizi

4.    Kutunga na  kuhakiki kazi za fasihi simulizi

5.    Kufafanua maana na dhima ya mofimu

6.    Kueleza maana na dhima ya uambishaji

7.    Kufafanua maana na dhima ya mnyumbuliko

8.    Kunyumbua maneno

9.    Kujibu maswali kutokana na habari aliyoisikiliza au kuisoma

10.  Kubainisha mawazo makuu kutokana na habari aliyoisikiliza au kuisoma

11.  Kufupisha habari  aliyoisikiliza au kuisoma

12.  Kusimulia hadithi na mada anuwai

13.  Kuandika insha, barua, simu na hotuba

14.  Kubainisha utumizi wa maneno

15.  Kueleza  dhima ya rejesta

16.  Kutambua na kusahihisha makosa ya utumizi wa lugha